Shirika la Mizizi Ya Mafanikio ni taasisi isiyokuwa ya kiserikali yenye usajiri
01NGO/R/5103 na makao yake yapo mtaa wa Longdong kata ya Sokon 1 na imejikita
katika kutoa huduma ya watoto wa mitaani, watoto yatima, wajane, na mabinti wenye umri wa kwenda
shule ambao wazazi wao hawana uwezo wa kuwasomesha.
Kwa sasa shirika lina mradi wa kusaidia mabinti wanaopitia changamoto mbalimbali ambazo wengine
zimepelekea kukatisha masomo yao. Pia shirika lina wasaidia vijana wa kiume kwa kuwalipia ada tu
hivyo wao hulazimika kufika chuoni na kurudi majumbani. Kwa sasa shirika linashirikiana na
Right Winners Training Centre kilichopo pia Sokon 1 Arusha, ambacho kinatoa kozi mbalimbali
kama zilivyoainishwa hapa chini:
SEHEMU YA KWANZA: KOZI ANAZOWEZA KUCHAGUA MWANAFUNZI
- Information Technology (IT) – Web design, Computer application, Graphics designing, Video production, Computer maintenance.
- Tourism Studies – Tour guide, Tour operation, Driving, Communication skills.
- Hotel Management – Food production, Bakery & pastry, Food cost & budgeting, Food & beverage services, Front office operation, Housekeeping & laundry.
- Hair Dressing and Beauty Course – Hair dressing, Makeup, Pedicure & manicure, Therapy, Facial waxing, Bridal Makeup, Dreadlocks & Natural hair.
- Full Secretarial Course – Secretarial duties, Office practices, Computer application, Store keeping, Bookkeeping, Typing, Shorthand, Business English.
- Electrical Installation
- Fashion Designing & Decoration – Tailoring, Suit making, Event & Home decoration.
- Entrepreneurship and Business Knowledge
- Arts & Talents – Painting, Acting, Singing & Dancing.
- International Languages – English, German, French & Spanish.
- Sales and Marketing
- Business Administration
- Foundational Leadership in Adult Education – Theories & Practices, Entrepreneurship, Education Policy, Gender Rights, Life Skills, Communication Skills.
Vigezo vya Ubora kwa Mwanachuo
- Utendaji wa moja kwa moja (Direct performance assessment)
- Ujuzi na maarifa katika fani husika (Knowledge assessment)
- Nidhamu na uwajibikaji (Discipline & accountability)
- Mahudhurio (Attendance)
Mwisho wa masomo, mwanafunzi atafanya mtihani wa Taifa kutoka
VETA au Wizara ya Elimu kwa elimu ya watu wazima (Adult Education).